NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

SUAREZ AIPA BARCA UBINGWA WA LA LIGA KWA HAT TRICK


Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akiruka hewani kushangilia baada ya kuifungia timu yake mabao yote matatu katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Granada kwenye mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Nuevo Los Carmenes. Ushindi huo umeifanya Barca kufikisha pointi 91 baada ya kucheza mechi 38 na kutwaa ubingwa wa La Liga, wakiwazidi kwa pinti moja mahasimu, Real Madird  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment