![]() |
Nusu Fainali ya michuano ya Copa America imechezwa alfajiri ya leo Uwanja wa Soldier Field mjini Chicago,Chile imeifunga Colombia kwa bao 2-0 kwenye mchezo huo na itakutana na Argentina kwenye mchezo wa fainali June 27/2016 kwenye uwanja wa MetLife mchezo wa fainali unaozikutanisha tena timu hizo baada ya mwaka mmoja. |
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment