Baada ya kuwa na ratiba ngumu ya kufanya tour ya muziki, Jay Z na
mkewe Beyonce pamoja na mwanao Blue Ivy Carter wameenda katika visiwa
vya Hawaii Marekani kwa ajili ya mapumziko.
Hivi karibuni Beyonce alimaliza tour yake ambapo katika moja ya
matamasha aliimba wimbo wa Halo akiwakumbuka wale wote waliopoteza
maisha katika shambulio la Orlando Marekani.
Zitazame hapa picha 15 za wawili hao wakifanya yao huo Hawaii.















News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia
Facebook
,
Twitter na
Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.
0 comments:
Post a Comment