NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Serikali yafungia makampuni mengine mawili ya mabasi




Kutokana na kukithiri kwa ajali za barabarani ambazo ni uzembe wa madereva serikali imetoa tamko la kusitisha huduma za usafirishaji kwa kampuni mbili za mabasi Super Sami na OTA kwa kusababisha ajali zilizopelekea vifo na majeruhi.
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment