NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Video: Diamond akutana na mchekeshaji wa US, Kevin Hart

Diamond Platnumz ameianza vyema safari ya kutafuta tobo Marekani. Staa huyo ambaye yupo jijini Los Angeles, Marekani ambako tayari ameshoot video ya wimbo Marry You aliomshirikisha Ne-Yo, amekutana na mmoja wa mastaa maarufu sana Marekani. Amekutana na mchekeshaji na muigizaji wa filamu, Kevin Hart. Amepost kipande cha video Instagram akiwa na muigizaji huyo wa Central Intelligence anayesikika akiwasalimia followers wa Diamond.
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment