
Mourinho alisema itakuwa vigumu kwa mwamuzi huyo kuchezesha vizuri baada ya uteuzi wake kukosolewa.
‘Mtu mmoja akiwa na lengo anaweka shinikizo kwake’ alisema Mourinho.
Ki kawaida makocha hawatakiwi kuzungumza lolote kuhusiana na mwamuzi kabla ya mchezo.

Anthony Taylor
FA inataka kuchunguza matamshi hayo kabla ya kuamua ni hatua gani kama ipo inaweza kuchukuliwa.
Uteuzi wa mwamuzi huyo Taylor, umekosolewa na Kenith Hackett,mkuu wa Bodi ya marefarii Professional Game Match Officials Ltd.
0 comments:
Post a Comment