Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga huenda akawa mmoja wa
viongozi watakaoshuhudia show ya Chris Brown mjini Mombasa.
Kiongozi
huo wa chama cha ODM amepost picha Facebook akiwa na Alikiba pamoja na
Gavana wa mji huo, Hassan Joho mbele ya tamasha la Mombasa Rocks
litakalofanyika leo mjini humo.
Alikiba na Vanessa Mdee watamsindikiza staa huyo wa Marekani kwenye tamasha hilo la aina yake mjini Mombasa.
News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia
Facebook
,
Twitter na
Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.
0 comments:
Post a Comment