NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Picha: Mashindano ya Mr & Miss Mbeya University of Science & Technology Yalivyofana

 
Chuo kikuu cha sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) hapo jana (28 May) kiliweza kumpata Miss na Mr  ambao watashikilia taji hilo kwa muda wa mwaka mmoja toka walipokabidhiwa.
 
 Hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Nyerere uliopo chuoni hapo huku ukiudhuriwa na baadhi ya viongozi wa chuo pamoja na wale wa serikali ya wanafunzi (MUSTSO).
 
 Sherehe hiyo ilikua chini ya udhamini wa Access Computers Ltd, Trust pamoja na Oneclick Tanzania. Access computer walitoa zawadi ya Lennovo mpya kwa washindi wote wawili Mr na Miss MUST



 
 
Mshiriki nambari moja akipita jukwaani akiwa amevalia vazi la asili
Mr na Miss MUST 2015-2016 walikuwepo pia ili kukabidhi taji kwa washindi wapya
Nancy kutoka meza kuu ya majaji akitoa neno kwa waliohudhuria hafla hiyo
 
Meza kuu ya uongozi wa chuo kutoka kulia, Rais wa serikali ya wanafunzi Sirilo Joseph akiambatana na wadhamini kutoka Access Computers Ltd
Naibu waziri wa Starehe na Michezo Alex Toure
Washiriki wa Mr na Miss MUST kwenye picha ya pamoja
 
Muwakilishi kutoka Trust
Washindi wakikabidhiwa taji
 
Vikundi vya uburidishaji vilikuwepo kunogesha hafla
 Hillary Obeid Mshindi Mr MUST 2016-2017
Mwajuma Ismail Mkupete Mshindi Miss MUST 2016-2017
 
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment