NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Wanawake Mbele ya Pesa, Mimba na Ukimwi ni Matokeo tu

Kama ulikuwa huwafamu vizuri hawa ndugu zetu, mama zetu.Usitenge muda kuwafahamu, sababu utaweza kuwa chizi
 
Pesa wananusa kama sisimizi anavyo nusa sukari ipo wapi Ukiwa na pesa ya kutosha utaweza kuwachanganya kijiji kizima
ukifulia kijiji kizima wanakuacha, utaanza kuonekana kama kituko

Aliye umba pesa Mr pilato kweli kaziloga. 
Ukiwa na pesa, wanawake wanacho itaji ni pesa yako tu. 
utumie condom, usitumie shauri yako
pesa imewatoa ufahamu kabisaaaaa
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment