NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Beka Tittle amefunguka juu ya bifu inayohusishwa dhidi yao na muandaaji wa muziki Bongo Makochali.

Msanii wa Bongo Fleva Beka Tittle
Akizungumza na eNewz Beka alisema kuwa wao hawanatatizo na Makochali labda kuhusu mchongo ambao ulitokea kuhusiana na Rapa wa kundi hilo Mr Blue na Rapa mwenzie Sugu.

“Sisi hatuna matatizo na Makochali labda kuhusu mchongo wa Blue na Sugu kidogo kuna mambo nafikiri yameingiliana lakini nadhani yameenda sawa mambo freshi na tuna ngoma mpya B.O.B micharazo tunataka kufanya na Makochali huyo huyo lakini hamna bifu ya Makochari sisi sote tupo poa yaani kazi kazi,” alisema Beka.
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment