Baada ya kuka muda bila kumuweka maisha yake ya mahusiano hadhari
hatimaye leo muigizaji wa bongo amepost picha yake akiwa na boyfriend
wake.
Elizabeth Michael maarufu Lulu, empost picha kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika maneno haya
“Baba Na Mama Squad katika harakati za
Mapozi haikuwa rahisi Na Yebo Yebo zangu Na kilemba…No make upSema Poa
tu,Goodnight lovies”
Picha yenyewe halisi ndiyo hii
News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia
Facebook
,
Twitter na
Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.
0 comments:
Post a Comment