NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

AJALI: Basi la Leina Tours lapata ajali Kimara Bucha wawili wafariki

Basi la Leina Tours lililokuwa likitokea Kahama kuja Dar es Salaam, limeacha njia na kutumbukia katika mtaro eneo la Kimara Bucha  usiku  wa kuamkia leo

Idadi ya waliofariki haijafahamika  ila waliojeruhiwa ni zaidi ya 30 na walikimbizwa  Haospitali  ya  Mwananyamala na Muhimbili.
 
chanzo>mpekuzi
 
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment