NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

TANZIA Bongo move: Mwigizaji Kinyambe afariki Dunia

 
 
Taarifa tulizozipata hivi punde ni zinaarifu kwamba Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwako Mbeya.
 
 Tumeelezwa kuwa msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.


Tutawaletea taarifa rasmi hivi punde... 
 
Hizi Hapa ni baadhi ya picha zake...baada ya picha nimekuwekea Video 5 za Kinyambe enzi za uhai wake akifanya vituko vyake


chanzo>machakublog
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment