NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

KAMANDA MTEI AFUNGUKA MOROGORO

Kamanda mpya wa jeshi la polisi mkoani Morogoro Ulurich Matei amewataka wananchi mkoani hapo kushirikia na jeshi la polisi kupambana na biashara ya udanguro ili kutokomeza biashara hiyo haramu na wananchi wafanye shughuli zao bila mitafaruko. Aidha kamanda Matei alisema mkoa wa Morogor ni moja kati ya mikoa yenye migogoro mingi hasa ya wakulima na wafugaji lakini samabamba na wafungaji bali ipo ya wakulima na wawekezaji na kuwataka wananchi kushirikiana na serikali ili kumaliza migogoro hiyo Hata hivyo kamanda Mtei alisema wananchi wametakiwa kutoa taarifa kwa jeshi la polisi kuhusu wahamiaji haramu
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment