Staa wa muziki wa bongo flava
wanjera,baadae,ndagushima,tupogo nanai na ‘Achia Body’ Omary Nyembo ama
anafahamika kwa jina la Ommy Dimpozi, ameongea urafiki wake na Diamond
ulivyo sasa na ule wa zamani kuwa kwa sasa hayupo nae karibu.
Akiongea hayo kupitia bongo five katika
mohojiano yake Dimpozi amesema haina haja ya kuficha ficha kuwa wapo
karibu kwa sasa hayupo karibu nae lakini hana tatizo nae kwa maana hana
ugomvi nae na wala hawakuwahi kugombana ila hali kama hiyo inatokea kwa
mtu yoyote.
Huu sio muda wa kuficha mambo wakati
uhalisia unaonekana tulivyo sasa sio kama zamani sasa lakini hatuja
gombana wala hatuna bifu mana kukuza mashabiki hawachelewi amesema
Dimpozi
Alipo ulizwa kuhusu wanjera kuwa ndio
chanzo cha ugomvi wao dimpozy amesema hapana haikuwa hiyo wala hakuna
bifu ila hali ya kawaida kwa binadamu, na tukiona nana tun salimiana
kama kawaida
kuhusu kuwa karibu na alikiba kwa sasa
amesema huwa haegemei upande wowote kati ya wasanii hao maana unapo
egemea upande mmoja ndipo watu wana kutukana na kuku elewa vibaya huwa
hapendi kuegemea sehemu moja na kama bifu au chochote hiko chao yeye
anacho angalia utu na ubinadamu wala haingii katika bifu lao kama kweli
lipo.
News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.
RELATED POSTS
OMMY DIMPOZ: HAKUNA HAJA YA KUFICHA, SINA UKARIBU NA DIAMOND
Reviewed by Newspointtz
on
16:27:00
Rating: 5
0 comments:
Post a Comment