NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Picha za Mkutano wa Hadhara wa Kumtambulisha Katibu mkuu CHADEMA Dr Vicent Mashinji -Furahisha Mwanza

Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Vicent Mashinji, jana alitambulishwa rrasmi kwa wakazi wa Mwanza kwenye uwanja wa furahisha.

Viongozi mbalimbali wa kitaifa wa Chadema pamoja na baadhi ya Wabunge kutoka Chadema walikuwepo kuushuhudia utambulisho huo wa Katibu Mkuu wao kwa wananchi.

 

Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment