NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

RONALDO AKOSA PENATI REAL YASHINDA 4-0

Gareth Bale (right) celebrates with Karim Benzema and Cristiano Ronaldo after scoring Real Madrid's third goal against Sevilla
Mshambuliaji Gareth Bale (kulia) akishangilia na wachezaji wenzake wa Real Madrdi,  Karim Benzema na Cristiano Ronaldo baada ya kufunga bao la tatu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Sevilla usiku huu Uwanja wa Santiago Bernabeu katika mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Karim Benzema, Cristiano Ronaldo na
Jese Rodriguez Ruiz. Ronaldo alikosa penalti pia sawa na  Kevin Gameiro wa Sevilla
The Welshman (left) poked into an empty goal after Benzema (right) had chipped the ball over the advancing Sergio Rico
Benzema expertly volleyed home Bale's cross with just six minutes gone to give Real Madrid the lead after just six minutes
The French international striker wheels away in celebration after giving his side the lead early on at the Bernabeu
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment