NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Siwezi kumzungumzia Baghdad-Babu Tale



babu-taleRapper wa muziki nchini Tanzania, Baghdad, ameamua kuandaa mixtape aliyo iita Old is Gold ambayo imekusanya nyimbo za zamani nakuzirudia tena studio ikiwemo Mtazamo ya Solo, Nikusaidiaje ya Profesa Jay na nyinginezo ambazo kwa mujibu wake Baghdad amesema tayari ameshapewa ruhusa ya kuendelea kuzifanya.baghdad123

Lakini inasemekana kuna maneno ambayo Baghdad ameyazungumza yakasababisha mfarakano kati yake na Babu Tale kitu ambacho kime mpelekea Babu Tale amtoe kwenye kundi la Whatsapp kundi ambalo limekusanya  baadhi ya wasanii wa Tanzania.babu_tale

Kwenye remix ya Mtazamo aliyoimba Baghdad kunamistari ambayo ameimba “Game ishakuwa yawadau, Tale anaweza kukufanya media house ikuzarau, Kama hauna hela kajiunge Mkubwa Fela.”Baghdad

Akizungumza na mtembezi.com kuhusu suala hilo meneja huyo wa Tip Top Connection na Diamond Plutnumz Hamisi Tale, Babu Tale amesema kuwa hayupo tayari kumzungumzia rappa Bagh Dad.babuTALE1-640x360


Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment