NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

ZITTO ABWAGA MANYANGA KAMATI ZA BUNGE

 
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wamepokea rushwa. 

Kutokana na shtuma hizo ameamua kumuandikia spika barua ya kujiuzulu na kumtaka achunguze na kuchukua hatua. 

Hapo chini ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.



Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment