Ukosefu
na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili
mamilioni ya wanaume duniani. Zipo sababu nyingi zinazo
sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
Miongoni
mwa sababu hizo ni pamoja na maradhi kisukari, presha,shinikizo
la damu, moyo, figo, matatizo kwenye mishipa ya ubongo &
mishipa ya uti wa mgongo, matatizo kwenye mishipa itumikayo
kusafrisha damu mwilini, maradhi ya ngiri, pamoja na upigaji
punyeto kwa muda mrefu.
Katika makala yetu ya leo, tutaangalia namna suala la upigaji punyeto linavyo athiri nguvu za kiume.
Kabla
hatujaangalia namna suala la upigaji punyeto linavyo maliza nguvu
za kiume, ni vyema tukafahamu kwanza kuhusu SAYANSI YA MFUMO
WA NGUVU ZA KIUME.
Kufahamu kuhusu SAYANSI YA MFUMO WA NGUVU ZA KIUME tafadhali tembelea :
Ukisoma
vizuri kuhusu mfumo wa nguvu za kiume, utagundua kuwa Suala
la nguvu za kiume ni suala la kimfumo. Ili mwanaume awe na
nguvu za kiume, aendelee kuwa na nguvu za kiume na azilinde
nguvu zake za kiume, ni lazima ogani zote zinazo husika na
mfumo wa nguvu za kiume ziwe na afya njema na ziwe na
ushirikiano thabiti na wenye afya.
Vile vile , utagundua kuwa , mambo makuu muhimu katika mfumo wa nguvu za kiume ni kama ifuatavyo:
i.Mishipa imara ya ubongo na yenye afya njema
ii. Mishipa imara ya uti wa mgongo ( spinal cords )
iii.Mishipa imara itumikayo kusafirisha damu mwilini ( Blood Vessels )
iv. Mfumo imara wa usafirishaji damu mwilini
v. Mishipa ya uume iliyo imara na yenye afya njema
vi.
Uhusiano imara na wenye afya kati ya mishipa ya fahamu
iliyopo katika ubongo, mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja
na misuli & mishipa ya kwenye uume.
Hivyo
basi, ili mwanaume aweze kuwa na nguvu imara za kiume, na
aendelee kuwa na nguvu hizo ni lazima mambo yote muhimu katika
mfumo wa nguvu za kiume yawe imara pasi na hitilafu yoyote.
Hitilafu
yoyote katika mambo hayo, itasababisha ukosefu na/ama upungufu wa
nguvu za kiume kwa mwanaume huyo. Pale inapotokea hitilafu
ama mapungufu katika ogani zaidi ya moja kati ya zilizo tajwa
hapo juu, basi tatizo kwa muhusika huwa kubwa mara dufu.
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU & UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mwanaume
anapopatwa na wazo la kufanya tendo la ndoa, ubongo hutoa
ishara kwenye mishipa ya uti wa mgongo ambayo nayo husafirisha
taarifa hadi kwenye mishipa & misuli ya uume.
Mishipa
ya uume inapopokea taarifa hiyo, hutanuka. Na mishipa ya uume
inapotanuka, hufanya mambo mawili muhimu sana :
i.Husababisha
mishipa ya ateri kupanuka na hivyo kuruhusu damu kuingia kwa
kasi sana ndani ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume
usimame na kuwa imara bara bara.
ii.
Huibinya na kuiziba mishipa ya vena na hivyo kuzuia kunyonya
ama kufyonza damu iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume. (
KAZI KUBWA YA MISHIPA YA VENA ILIYO KARIBU NA MISHIPA YA UUME
NI KUHAKIKISHA HAKUNA DAMU NDANI YA MISHIPA YA UUME. HIVYO BASI
DAMU INAPOINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME, MISHIPA YA VENA HU
“SENSE” JAMBO HILO KWA HARAKA NA HIVYO KUIFYONZA DAMU HIYO
KUTOKA KWENYE MISHIPA YA UUME YA KUITOA NJE YA MISHIPA YA UUME.
NA DAMU INAPOKOSEKANA NDANI YA MISHIPA YA UUME, HUUFANYA UUME
KUSINYAA NA KULEGEA )
Mtu anayepiga punyeto husababisha mambo yafuatayo katika mwili wake :
1. Huuwa nguvu ya mishipa & misuli ya uume ambayo ndio inayo husika na kusimama kwa uume
2. Mishipa ya uume inapo sinyaa na kukosa nguvu yake ya asili, husababisha mambo yafuatayo :
i.Huondoa
uwezo wa mishipa & misuli ya uume kutanuka, na hii ndio
sababu inayo wafanya waathirika wa punyeto kutumia nguvu nyingi
sana katika kuufanya uume usimame.
ii.Huondoa
uwezo wa mishipa & misuli ya uume kuibana na kuiziba
mishipa ya vena, na hii ndio sababu inayo fanya waathirika wa
punyeto kufika kileleni haraka sana, kwani damu inayo ingia
kwenye misuli ya uume hufyonzwa ndani ya muda mfupi sana.
Hii
hutokea kwa sababu mishipa na misuli ya uume inakuwa
imelegea,na mishipa ya vena inakuwa imepwaya, hivyo msuguano wowote
ule hufanya mishipa ya vena kufunguka na kufyonza damu kutoka
kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kusinyaa ndani ya
dakika ama sekunde chache sana.
3. Vile vile punyeto hufanya uume kusinyaa na kurudi ndani na kuufanya uonekane kama uume wa motto mdogo.
Kwa ufupi punyeto husababisha ukosefu wa nguvu za kiume kwa sababu kuu zifuatazo :
i.Kwanza hudhoofisha na kuharibu mishipa ya uume, ambayo ndio hufanya uume kusimama.
ii.Pili
hudhoofisha utendaji kazi wa mishipa ya ateri, ambayo ndio
hutumika kama njia ya kusafirisha damu kupeleka kwenye misuli ya
uume na ivyo kuufanya uume usimame
iii.
Tatu, punyeto hupelekea kuvuja kwa mishipa ya vena na hivyo
kusababisha damu kufyonzwa kwa haraka sana kila iingiapo ndani
ya misuli ya uume na matokeo yake ni uume kusimama kwa muda
mfupi sana wakati wa tendo la ndoa.
iv.
Punyeto huathiri mtiririko wa damu kwenda kwenye mishipa ya
uume, kwa sababu hudhoofisha misuli & mishipa ya uume pamoja
na mishipa ya ateri ambayo ndio hutumika katika kusafirisha damu
kwenda kwenye uume
DALILI ZA MTU ALIYE ATHIRIWA NA PUNYETO
Dalili kuu za mtu aliye athiriwa na punyeto ni kama ifuatavyo:
i. Uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto
ii. Uume kurudi ndani
iii. Uume kusimama ukiwa legelege
iv. Kufika kileleni haraka wakati wa tendo la ndoa.
TIBA YA NGUVU ZA KIUME KWA MTU ALIYE ATHIRIKA NA PUNYETO.
Dawa
asilia ya nguvu za kiume iitwayo JIKO ni tiba bora na ya
uhakika kabisa kwa mtu aliye athiriwa na punyeto. Dawa hii,
pamoja na mambo mengine mengi, husaidia kufanya mambio yafuatayo
katika mwili wa mwanaume aliye athiriwa na punyeto :
i.Kuimarisha mishipa & misuli ya uume ulio legea na hivyo kuurejeshea uwezo wake wa asili
ii. Hutibu tatizo la uume kurudi ndani
iii.Humaliza tatizo la kusimama kwa uume ukiwa legelege
iv.Hutibu na kuponya kabisa tatizo la kufika kieleleni haraka.
BEI YA DAWA : Dawa hii inapatikana kwa gharama ya SHILINGI ELFU THEMANINI TU (Tsh. 80,000/=)
MAHALI INAPOPATIKANA :
Dawa hii inapatikana katika duka la dawa asilia liitwalo
NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS CLINIC lililopo jijini
DAR ES SALAAM katika eneo la UBUNGO nyuma ya jengo la
UBUNGO PLAZA karibu na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING.
Kwa wateja wasio weza kufika ofisini kwetu. Watafikishiwa dawa mahali popote walipo jijini DAR ES SALAAM.
Kwa wateja waliopo mikoani watatumiwa dawa kwa njia ya MABASI
Kwa wateja waliopo Zanzibar wata fikishiwa dawa kwa njia ya usafiri wa boti.
Na kwa wateja waliopo UGHAIBUNI watatumiwa dawa kwa njia ya POSTA ama DHL.
MAWASILIANO : WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766 53 83 84.
Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, tutembelee kila siku kwenye blogu yetu :
0 comments:
Post a Comment