chemical-laboratory-equipment-13873240
Pamoja na mafanikio mengi yanayoendelea kuongezeka katika sekta ya elimu Manispaa ya Kinondoni haipo nyuma katika upande wa ujenzi wa maabara ambapo katika ujenzi wa maabara 
Manispaa hii imefanikiwa kuongeza maabara ukilinganisha na mwaka 2011 /2012 kipindi hiki vyumba vya maabara vilivyokuwepo ilikuwa 10 tu, kwa jitihada za manispaa chini ya idara ya Elimu imeongeza idadi ya vyumba vya maabara 138.

Sambamba na hilo kumekuwa na mafanikio ya ujenzi wa vyoo hivyo kufanya idadi ya vyoo kuongezeka kutoka vyoo 67 2011/2012 mpaka vyoo 135 2015/2016.Kwaupande wa vyoo vya wanafunzi idadi imeongezeka kutoka606 2011/2012 hadi kufikiavyoo 682 2015/2016.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Manispaa hiyo.
maabara+clip (1)Moja ya muonekano wa vyumba vya Maabara za shule..