Mwanamuziki mkongwe wa Kongo, Papa Wemba afariki dunia
Mwanamuziki mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Papa Wemba amefariki Jumapili hii.
Muimbaji huyo maarufu amefariki akiwa Abidjan, Ivory Coast baada ua kuugua. Alikuwa yupo nchini humo kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA)
Redio ya Kongo, Radio Okapi imetangaza taarifa za kifo chake.
Amefariki akiwa na umri wa miaka 66.
0 comments:
Post a Comment