NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Naibu Waziri wa Afya Dk.Kigwangalla atembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom Mkoani Manyara


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla, ametembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom iliyopo Wilayani Mbulu Mkoani, Manyara na kushuhudia namna ya utendaji kazi unaofanywa Hospitalini hapo.

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Kigwangalla amefaanya ziara ya kikazi kujionea shughuli zinazofanywa katika sekta ya Afya na wadau mbalimbali ikiwemo Hospitali hiyo ya Kilutheri ambayo inahudumia eneo kubwa la Ukanda huo ikiwemo Mikoa ya Singida, 

Tabora, Manyara yenyewe na maeneo mengine ya karibu.
DSC_0026Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akisalimiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mbulu wakati alipowasili Wilani humo kwa ajili ya kutembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom
DSC_0030Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akisalimiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mbulu wakati alipowasili Wilani humo kwa ajili ya kutembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Dk. Michael Kadeghe
DSC_0043Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akisalimiana na baadhi ya Madaktari  wakati alipowasili Wilani humo kwa ajili ya kutembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom. 


DSC_0197
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akipata maelezo juu ya kitemgo maalum cha ufundi wa vifaa tiba vya kitaalam katika Hospitali hiyo ya Hydm.
DSC_0210
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akipata picha ya pamoja na mtaalam wa masuala ya ufundi wa vifaa tiba vya kitaalam ambaye anatoa mafunzo kwa wataalam wa ufundi wa vifaa hivyo mpango ambao unaendelea katika katika Hospitali hiyo ya Hydom.
DSC_0195
DSC_0132
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akiangalia chumba cha CT-SCAN katika  Hospitali hiyo ya Hydom.
DSC_0135
Mashine ya kisasa ya CT-SCAN iliyopo katika hospitali hiyo ya Hydom DSC_0233Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akitembezwa katika moja ya wodi za Hospitaali hiyo ya  Hydom.
DSC_0251Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akiwasili katika Chuo cha Uuguzi cha Hydom kinachomilikiwa na Hospiatli hiyo ya  ya Hydom.
DSC_0255Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akiwasili katika Chuo cha Uuguzi cha Hydom kinachomilikiwa na Hospiatli hiyo ya  ya Hydom.
DSC_0256 DSC_0260
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akisikiliza kwa makini risala fupi kutoka kwa msimamizi wa Chuo hicho cha Uuguzi cha Hydom.
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment