NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Picha:Yanga ilivyoichinja Ndanda Fc 2-1 na kutinga nusu fainali Kombe la FA


MSHAMBULIAJI WA YANGA, DONALD NGOMA AKITHIBITI MPIRA MBELE YA BEKI WA NDANDA FC KATIKA MECHI YA ROBO FAINALI YA KOMBE LA FA. YANGA ILISHINDA KWA MABAO 2-1 KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTINGA NUSU FAINALI WAFUNGAJI WA MABAO YAKE WAKIWA NI PAUL NONGA NA KELVIN YONDANI.





Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment