NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Rais Magufuli Amuapisha Balozi wa Tanzania nchini Japan Mhe Mathias Chikawe Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Magufuli amemuapisha Balozi wa Tanzania nchini Japani asubuhi hii Mhe.Mathias Chikawe Ikulu jijini Dar es Salaam.
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment