Huenda wewe ulikuwa ni moja kati ya watu waliokuwa wameshtushwa na taarifazilizokuwa zimeenea wiki mbili zilizopita kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana bifu, ukweli umejulikana usiku wa May 29 2016, kuwa haikuwa bifu bali ni promo ya show yao ya pamoja waliofanya usiku huo.
Dakika chache kabla ya Show Vanessa Mdee akiwa backstage alinukuliwa akisema
“Kiukweli haukuwa ugomvi bali tulijaribu kuwaonesha watu kuwa usiamini
kila unachokiona kwenye mitandao, namuheshimu sana Shilole katika kazi
zake, lakini baada ya sisi kufanya vile watu walionekana kama wanataka
kuona sisi tukigombana”
0 comments:
Post a Comment