NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Picha | Barcelona wakishangilia ushindi baada ya kuifunga sevilla fainali ya Copa Del Rey








Ilichukua dakika saba baada  ya kutoshana nguvu kwenye dakika 90 Jord Alba akiifungia barcelona goli la kwaza na baadaye Neymar kumalizia furaha ya ushindi kwa kufunga goli la pili na kuifanya barcelona kuibuka na ushindi wa magoli 2- 0 dhidi ya timu ngumu ya sevilla



Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment