NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Tamthilia ya Prison Break kurudi tena, hii ni trailer yake mpya

Tamthilia ya Prison Break iliyofanya vizuri mwaka 2005 hadi 2009, inarudi tena mwakani. Fox imetangaza ujio wa tamthilia hiyo. Prison Break inarudi ikiwa na waigizaji wote kuanzia msimu wa kwanza akiwemo Michael Scofield aliyekuwa anadhaniwa amekufa. Itazame Trailer yake hapo chini
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment