NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Barcelona wathibitisha kuondoka kwa Dani Alves

34DA4B4000000578-3621713-image-m-9_1464869178027
Alves mwenye umri wa miaka 33 alijiunga na Seveilla mwaka 2008 na kushinda mataji 3 ya ligi ya vilabu bingwa pamoja na mataji sita ya La Liga na Barcelona.

Mkurugenzi wa Barca Robert Fernandez aliambia mtandao wa twitter wa kiabu hiyo : Dani Alves ameamua kuondoka.

”Ni uamuzi wa kibinafsi ambao tunauheshimu”.

Alves pia alishinda kombe la Copa del Rey mara nne na Braca ambao walishinda taji la ligi na kombe msimu huu
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment