Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia
mitandao ya kijamii hususani instagram, najua huenda ukawa umekutana na
post za mastaa wa Bongofleva Ruby na Aslay
ambazo zinatafsirika kama wapo kwenye mahusiano. Haijajulikana kwa mara
moja kama ni kiki au ni serious ni wapenzi ila hii ndio ishu inayo
trend kwa sasa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment