NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

WCB walivyopiga chini madai ya Cyrill kufanya colabo na Raymond



Meneja wa Diamond Platnumz na mmoja wa wakurugenzi wa bodi ya label ya WCB anayefahamika kama, Sallam Sharaff amesena lebel ya WCB haitambui colabo ya Cyril Kamikazi na Raymond.
Sallam alitumia twitter kuandika ujumbe huu >>Hakuna Collabo na Raymond, alimuomba Ray amuandikie na apewe melody siku nyingi sana! Hiyo nyimbo hatuuitambui<<
Cyrill alitambulisha rekodi hii Clouds Fm kwenye siku yake ya kuzaliwa, akiongelea rekodi hio alisema >Ngoma yangu imefanyika #TongweRecords nimempa collabo @Rayvanny,”
sallam sk
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment