NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Kauli kali ya Zlatan Ibrahimovic kuhusu kumfunika Eric Cantona.

Mshambuliaji mpya wa Man Untd Zlatan Ibrahimovic amesema yeye sio Mfalme King wa Manchester United ila yeye ni Mungu God pale Old Trafford.

Zlatan ametia wino kwenye mkataba wa mwaka mmoja na Jose Mourinho na kuleta imani kubwa Old Trafford.

Baada ya legend wa Manchester United Eric Cantona kusema anadhani ujio wa Zlatan Man Untd ni jambo zuri na kwamba atakuwa PRINCE Wa klabu hio, Zlatan Ibrahimovic alijibu hivi…
I admire Cantona and I heard what he said, But I won’t be King of Manchester. I will be God of Manchester.
Kama Zlatan ataweza kufikisha hata nusu ya mafanikio ya Cantona atakuwa kwenye historia muhimu sana ya klabu hio.
Zlatan atabidi awe na rekodi ya magoli 392 kwenye mechi 677 kama ya Cantona.
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment