Beki
wa PSG David Luiz akiwasili jijini London kwaajili ya kumalizana na
Chelsea na kurejea klabuni hapo baada ya kuondoka misimu miwili
iliyopita kwa ada ya paundi mil 50 kwenda PSG
News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.
0 comments:
Post a Comment