Simba ipo nafasi ya pili kwenye msimamo
wa ligi ikiwa na pointi nne baada ya kucheza michezo miwili na kushinda
mmoja huku ikitoa sare mwingine.
Hata hivyo, baada ya suluhu dhidi ya
JKT Ruvu, baadhi ya mashabiki wa Simba walianza kuwalaumu wachezaji hasa
wa kigeni na kocha Joseph Omog.
Tangu
alipowasili nchini Omog ameiongoza Simba kucheza mechi nane zikiwamo za
kirafiki na Ligi Kuu Bara. Katika michezo hiyo, Simba imepata ushindi
michezo mitano, imetoa sare miwili na kupoteza mmoja.
News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.
RELATED POSTS
SIMBA WAANZA KULIA NA WACHEZAJI
Reviewed by Newspointtz
on
09:35:00
Rating: 5
0 comments:
Post a Comment