Klabu ya Manchester United imeonyesha imepania kumbakiza kipa wake David De Gea baada ya kukataa kumuuza kwa Real Madrid.
Man United imekataa kitita cha pauni milioni 60 ambayo ingekuwa rekodi ya usajili kwa kipa kutoka katika klabu ya England.
Ingawa
hali hiyo imeonyesha kuwashangaza wengi, inawezekana Real Madrid
wakarejea na kitita kikubwa zaidi ili kumnasa De Gea ambaye ni raia wa
Hispania.
De Gea alitokea katika jiji la Madrid akiwa na Atletico Madrid na kujiunga na Manchester United akiwa kipa kinda.
Lakini kwa misimu miwili mfululizo, amekuwa tegemeo kuu la kikosi cha Man United ambacho kimekuwa kikiyumba.
Home
Post
Magazeti
Makala
Matangazo
4x4
Man United yaongoza kwa utajiri wa vilabu duniani
Klabu ya Manchester United imetajwa kuongoza orodha ya vilabu vyenye
thamani kubwa duniani.
Kwa mujibu wa Kampuni ya KPMG, imesema timu hiyo imeongoza orodha hiyo
kutokana na haki za kupeperusha matangazo, faida, umaarufu, uwezo
kimchezo na umiliki wa uwanja. Hizi ni timu 15 zinazoongoza orodha hiyo.
1. Manchester United (€3.004bn)
2. Real Madrid (€2.895bn)
3. Barcelona (€2.688bn)
4. Bayern Munich (€2.367bn)
5. Manchester City (€1.909bn)
6. Arsenal (€1.882bn)
7. Chelsea (€1.524bn)
8. Liverpool (€1.260bn)
9. Juventus (€1.158bn)
10. Tottenham Hotspur (€978m)
11. Paris Saint-Germain (€948m)
12. Borussia Dortmund (€917m)
13. Atletico Madrid (€771m)
14. Schalke (€663m)
15. AC Milan (€504m)
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap

Zitto atoa waraka mzito kuhusu kifo cha mzee Ndesamburo
Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe ametoa ya moyoni kufuatia kifo cha
aliyekuwa mbunge wa zamani wa Moshi mjini kupitia tiketi ya Chadema,
mzee Philemon Ndesamburo ambapo pia ametuma salamu za rambirambi kwa
mtoto wa mzee huyo.
Mzee Philemon Kiwelu Ndesamburo
Mhe. Zitto ametoa salamu hizo leo kwenye ukurasa wake wa faceebook
ambapo ameeleza alivyomtambua mzee Ndesamburo.
Salaam zangu za rambirambi Kwa dada yangu mpenzi Lucy Owenya Kwa
kupotelewa na baba mzazi Mzee Philemon Kiwelu Ndesamburo. Ni msiba
mkubwa Kwa watu wa Kilimanjaro na hasa Moshi Mjini ambapo Mzee Ndesa
Pesa alikuwa mwakilishi wake Bungeni kuanzia Mwaka 2000 mpaka Mwaka
2015. Kilimanjaro imepoteza mtu ambaye aliweka maslahi ya mkoa wake
mbele kuliko kitu kingine chochote.
Ni msiba mkubwa Kwa wanachama wa CHADEMA ambacho alikuwa Mwenyekiti
wake Wa Mkoa tangu Chama kimeanzishwa mpaka mauti yalipomkuta. Huwezi
kutaja maendeleo ya CHADEMA kwa nchi yetu bila ya kutaja jina la Mzee
Ndesamburo. Nimepata bahati ya kufanya naye kazi Kwa karibu, naweza
kutamka bila wasiwasi kwamba ni mmoja wa watu waliokipenda Chama chake
Kwa dhati Kabisa.
Ni msiba mkubwa Kwa Watanzania. Mzee Ndesamburo alitumia uwezo wake
Wa kifedha na kiakili kuimarisha mfumo wa Vyama vingi nchini kwetu.
Mchango wake katika kupigania Demokrasia nchini ni wa kupigiwa mfano na
Kwa Kweli wengi wetu Leo tunafaidi matunda ya Vyama vingi Kwa sababu ya
kazi kubwa ambayo Mzee Ndesamburo na wenzake walio hai na waliotangulia
mbele ya haki walifanya.
Mzee Ndesamburo amechangia Sana ukuaji wa sekta ya utalii nchini.
Kupitia kampuni zake za Keys Hotels ameweza kuchangia Sana ukuaji wa
sekta ya Utalii nchini kwetu. Bungeni alikuwa mstari wa mbele kutaka
uhifadhi wa mlima Kilimanjaro kutokana na tishio la theluji kuondoka
katika uhai wetu ( in our life time). Kwa hakika Vyuo Vikuu vyetu vya
Umma vingekuwa vinatenda haki Mzee Huyu angepewa Shahada ya Uzamivu ya
Heshima Kwa mchango wake katika Maendeleo ya sekta ya Utalii nchini
kwetu.
Nawapa pole Sana watoto, wajukuu na vitukuu vya Mzee Ndesamburo.
Mzee wetu aliishi maisha yake na ameacha ‘ legacy ‘ yake. Najua maumivu
yenu lakini tupo wengi tunaoumia nanyi. Mungu awavushe kwenye mtihani
huu mkubwa. Muwe wamoja na mshikamane.
Poleni Sana ndugu zangu wa CHADEMA Kwa kupotelewa na Kiongozi wenu
na Kiongozi wetu pia.
Poleni Sana wana Moshi Mjini na wana Kilimanjaro wote. Poleni Sana
Watanzania.
Pumzika Kwa Amani Philemon Kiwelu Ndesamburo. Hiyo ni njia yetu
sote. Amina
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets
Zitto atoa waraka mzito
kuhusu kifo cha mzee Ndesamburo

About Richard Mwaikenda
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
0 comments:
Post a Comment