Moja ya
taarifa iliyosambaa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya
habari asubuhi ya leo march 9 2016, ni pamoja na hili tukio la ajali ya
magari matatu ambayo ni gari la abiria aina ya DCM, Lori la mchanga na
gari lingine lililokuwa limebeba mchanga kugongana katika eneo la
Tabata, Dar es salaam.
Hadi sasa
hakujawa na uhakika wa taarifa za uhakika kuhusiana na chanzo cha ajali
ikiwa ni pamoja na vifo na majeruhi, millardayo.com inaendelea
kufuatilia undani wa tukio hili na endelea kukaa karibu ili kila
litakalonifikia niweze kukusogezea.
Na hizi ni picha nne za kwanza kutokea katika eneo la tukio…..
0 comments:
Post a Comment