NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

BIBI WA GESI MTWARA AFARIKI DUNIA




Bi,Somoe Mtiti ambaye alijipatia umaarufu mkubwa  kufuatia ugunduzi wa wa gesi mkoani mtwara mwanzoni mwa mwaka 2013 afariki dunia

Bi mtiti alikuwa mastari wa mbele katka harakati za kupigania ujenzi wa Bomba la kusafirisha Gesi kutoka Mtwara hadi Dar es salaam

Akithibitisha kutokea kwa kifo cha Bibi yake Maulid Issa alisema bibi yetu hatunaye tena hapa duniani kwa ametutoka na mungu amempenda zaidi

“Kifu kimetokea jana majira ya alasiri na tumempoteza bibi yetu ambaye katika kipindi hiki tulimuhitaji sana”alisema Issa

Bi Mtiti amezikwa leo  a amefariki dunia akiwa na miaka 109 ameacha watoto ,wajukuu na vitukuu

Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment