NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Breaking News: Halima Mdee na wenzake wamefikishwa Mahakamani leo


Baada ya baadhi ya wanasiasa wa Chadema akiwemo Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kushikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumjeruhi katibu tawala wa Mkoa wakati wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam ulipoahirishwa.

Leo March 2 wamefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kusomewa shitaka. Mbunge wa Kawe Halima Mdee na wenzie wanne wamekana mashitaka na wametakiwa kujidhamini wenyewe kwa gharama ya Shilingi Milioni mbili kila mmoja.

Chanzo:Milaayo
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment