NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Chidi Benz apelekwa Bagamoyo Sober House


Meneja wa Daimond ,Babutale akishirikiana na Kalapina wamemchukua Chidi Benz na kumpeleka Life and Hope Rehabilition Organization Bagamoyo kwa ajili ya kumsaidia kuacha matumizi ya madawa ya kulevya.

Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni rapa huyo kuomba msaada baada ya kuona ameshindwa kukabiliana na matatizo ya kiafya ambayo yamekuwa yakimkabili


Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment