NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Clouds media wamtembelea Chid Benzi Bagamoyo


Wanafamilia wa CloudsMediaGroup‬ kutoka katika vipindi vya ‪‎PowerBreakFast‬ ‪,Clouds360 na Harakati‬ wametembelea kituo cha Life &hope Rehabilitation centre "Bagamoyo" mahali ambapo Rapa Chidy Benz anapatiwa matibabu,

wameongea na watumiaji sugu wa madawa ya kulevya ambao wanapatiwa matibabu katika kituo hicho kuhusu uzoefu wao hapo.

Inategemewa kuwa Chidy Benz itamchukua siku 90 kuondoa madawa katika mwili wake na miezi 6 kumaliza matibabu yake kabisa. Pia wamewatakia sikukuu njema ndugu zetu hao.
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment