Newspointtz.blog
KWA UFUPI
Machi 7, 2016 ndio siku ambayo mkuu wa
wilaya ya Kinondoni DC Paul Makonda alikubaliana na chama cha wamiliki
wa daladala, kuwa walimu wa jiji la Dar es salaam wataanza kutumia
vyombo hivyo vya usafiri bila malipo ya nauli wakati wakwenda shule (saa 11 hadi 02 asubuhi) na kutoka (saa 09 hadi 06 jioni) . ambapo kila daladala walikubaliana kuwa itakuwa ina beba mwalimu mmoja.
Hii leo Mkuu huyo wa wilaya Paul Makonda
alizindua mpango huo mapema leo asubuhi katika kituo cha daladala Kawe
Jijini Dar es salaam, ambapo aliweza kuzungumza na madereva na
makondakta kuhusiana na mpango huo.
Kwa undani zaidi unaweza kumsikiliza hapa DC Pa
SIKILIZA HAPA SAUTI YA DC MAKONDA
News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia
Facebook
,
Twitter na
Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.
0 comments:
Post a Comment