MAPUMZIKO
Dk 44, beki Sports anafanya kazi ya ziada kuokoa shuti lililokuwa linajaa wavuni. Inakuwa kona lakini haina manufaa kwa Yanga
Dk 43, Haji Mwinyi anapiga krosi safi kabisa lakini Ngoma anapiga kichwa dhaifu kabisa
GOOOOOO Dk 37 Ngoma anapiga shuti la baiskeli na kuiandikia Yanga bao la pili baada ya kuunganisha krosi safi ya Juma Abdul
Dk 34, Yanga wanafanya shambulizi jingine, lakini kipa Kabaly FAraji wa Sports anakuwa makini.
GOOOOOOOO Dk 32 Yondani anaifungia Yanga bao safi la kwanza baada ya kupiga shuti kali lililomgonga Kamusoko na kuanzika bao la kwanza
Dk 25 hadi 28, bado inaonekana ni mpira unaochezwa katikati ya uwanja zaidi kwa kila upande
Dk 20 hadi 22, Sports wanaonekana kubadilika na kugonga pasi nyingi huku Yanga ndiyo wakitumia muda mwingi kukaba
Dk 19, Sports wanapata kona baada ya beki Bossou wa Yanga kuutoa mpira wakati akiokoa. Wanapiga lakini ni dhaifu kabisa na Barthez anaidaka kwa ulainiiii
Dk 15, Juma Abdul anapata nafasi nzuri kabisa, lakini anashindwa kufunga
Dk 11, Yanga wanapata kona inayochongwa na Niyonzima, lakini Sports wanaokoa kwa ulaini kabisa
Dk 7, Kamusoko anaingia vizuri katikati ya mabeki wa Sports, anapiga shuti lakini linakuwa dhaifu, goal kick
Dk 5, Juma Abdul anachonga krosi safi sana, Ngoma anapiga kichwa, mpira unamgonga beki na kutoka nje. Kona, wanachonga lakini haina matunda
Dk 4, African Sports wanapata kona lakini wanaichonga na inakuwa haina faida
Dk 2, Msuva anaingia na kupiga krosi safi kabisa, Niyonzima anaunganisha na mpira unajaa wavuni. Lakini kabla, mwamuzi alikuwa ameonyoosha kibendera juu.
Mpira ndiyo umeanza, kila timu inaonekana kuanza kujipanga ili kuhakikisha inafanya kweli.

0 comments:
Post a Comment