NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

MAKINDA:NAM 'MISS' SANA TUNDU LISU

Aliyewahi kuwa spika wa Bunge la 10 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Anna Makinda, amemtaja Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, miongoni mwa Wabunge anaowakumbuka.

Akizungumza na Times Fm, Makinda amesema Tundu ni mwanae aliyekuwa rafiki yake japo alikuwa akikumbana na changamoto kadhaa. “Wapo wanangu wengi ambao ni rafiki zangu mule ndani, Mwanangu Tundu Lissu ni miongoni mwao” Alisema.

Katika hatua Nyingine Mbunge huyo wa zamani wa Njombe, amewataka Wabunge waliobakia Bungeni kutozua mijadala kwa maslahi ya vyama vyao.

Chanzo: timesfm
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment