NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

MAN U YAONGEZA MARA 15 ZAIDI MSHAHARA WA RASHFORD

rashford

Bada ya kuonesha kiwango kizuri katika michezo ya hivi karibuni mshambuliaji  kinda wa Manchester united Marcus Rashford mwenye miaka 18 amepewa ofa na timu hiyo ya  paundi milion 15,000 mshahara huu utawahishwa mapema zaidi kama ilivyopangwa hii ni kutokana na kipaji anacho kionehsa kinda huyo Manchester united

Kiwango hicho cha mshahara kitakuwa mara 15 zaidi ya kile anacho lipwa sasa Rshford ameonehsa kiwango kizuri baabda ya kuanza kuifungia manchester united goli katika mchezo wa Europa League na kuja kuifunga Arsenal  magoli mawili ya haraka na lile alilo weka rekodi ya kufunga katika Derby ya manchester city dhidi ya Manchester United rekodi ambayo akiwa na miaka 18 hakuna mwingine alie funga katika derby ya jiji hilo akiwa na umri huo katika historia ya epl

Rashford ni mwanafunzi picha zake zilionekana akiingia na koti la manchester united shuleni hapo baada ya kuifunga arsenal siku iliyo fuata pia inasemeka mchezaji huyu ana asili ya pemba ingawaje Taarifa hzo bado hazija thibitishwa zipo katika mitandao ya kijamii na jina wanalo muita watanzana ni Rashid Fuad. na hii kutokana na wazungu kushindwa kuita Rashid Fuad na kumuita Rash-ford

Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment