NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

ARGENTINA YAIADHDIBU CHILE KUFUZU KOMBE LA DUNIA

Angel di Maria akishanfilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Argentina dakika ya nane, baada ya Felipe Gutierrez kutangulia kuwafungia weyeji dakika ya 11, kabla ya Gabriel Mercado kuwafungia wageni la ushindi wa 2-1 dhidi ya Chile mjini Santiago jana katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia


 



Referee: Heber Roberto Lopes (Brazil).


























Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment