Leo March 2 2016 wabunge wawili wa chadema, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara Pamoja na Diwani wa Kata ya Saranga, Ephrein Kinyafu.
Wamefikishwa mahakamani
kwa ajili ya kujibu mashitaka ya kumjeruhi katibu tawala Mkoa wa Dar es
salaam wakati wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam
ulipoahirishwa. Watuhumiwa wote wamekana mashitaka hayo na wamejidhamini wenyewe kwa gharama ya Shilingi Milioni mbili kila mmoja.
Mbunge
wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee (wa pili kushoto), Mbunge wa Jimbo la
Ukonga, Mwita Waitara (wa tatu kutoka kushoto) na Diwani wa Kata ya
Saranga, Ephrein Kinyafu (kulia) wakiwa ndani ya Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Leo kabla ya kuanza kusikiliza kesi
inayowakabili.
Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule, akiwa ndani ya mahakama ya mkazi kisutu kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kesi hiyo.
Mbunge wa Bunda, Esther Bulaya akiwa na Katibu Mkuu, Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) wakisubiri kusikilizwa kwa kesi hiyo
|
Halima Mdehe akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani |
News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia
Facebook
,
Twitter na
Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.
0 comments:
Post a Comment