NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

Rais wa Vietnam aondoka nchini

Truong Tan Sang
Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh wakiagana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016.
Truong  Tan Sang
Truong Tan Sang
Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh  wakiwapungia wananchi huku wakiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016. 
Truong Tan Sang
Mpiga picha aliyeambatana na Rais wa Vietinam katika ziara yake nchini akicheza ngoma kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka nchini kwa Rais wake , piga picha aliyeambatana na Rais wa Vietinam katika ziara yake nchini akicheza ngoma kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka nchini kwa Rais wake , Truong Tan Sang, Machi 11, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
IMGS8004 


chanzo>moblogg

 
Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment