Baada
ya kuachia nyimbo mpya ‘My Life’ siku kadhaa zilizopita, msanii Dogo
Janja amefanyiwa surprise ya kukabidhiwa gari aina ya Mercedes Benz na
mmoja ya wasanii wanaomsimamia, Madee.
Surprise hiyo ilifanywa wakati Dogo Janja akiwa katika kipindi cha Ala za Roho kinachoruka kupitia Clouds Fm.
Awali
Dogo Janja alikuwa hajafahamu kama Madee atafika na wakati yeye
akiendelea na interview, Madee aliingia na kumkabidhi ufunguo hali
iliyomfanya Dogo Janja aanze kulia na kushindwa kuzungumza.
Unaweza kutazama video hapa chini wakati Dogo Janja akikabidhiwa gari.
0 comments:
Post a Comment