NEWSPOINTTZ.BLOGSPOT.COM

DUDUBAYA: Nawafikiria ma-Directors 5 kufanya video yangu

 

Kila msanii ana maamuzi yake kuchagua nani anaweza kufanya nae kazi ili aweze kupiga hatua na kufanya kitu bora mbele za watu.

Hivi ndivyo Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya Hitmaker wa Kokoriko anavyoithibitishia  kuwa amepanga kuachia video ya wimbo huo mwishoni mwa mwezi April mwaka huu, ila bado anafikiria afanye kazi na muongozaji gani?DUDUBAYA KOKOROKO COVER

Dudubaya amewataja baadhi ya waongozaji ambao anafikiria kufanya nao kazi ni Hanscana, Nisher na Ivan kwa upande wa Tanzania huku nje ya nchi akitamani kufanya kazi na Godfather.

Share on Google Plus

News Point inakusogezea habari kubwa za kila siku kutoka kila kona ya dunia. Ungana nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagaram ili uwe wa kwanza kupata habari.

0 comments:

Post a Comment