Fuatilia mijadala ya Bungeni leo Aprili 25 hapa 0
SIMU.TV: Mbunge wa Kiteto Mhe. Papian aihoji serikali juu ya upelekaji wa gari la wagonjwa pamoja na mafuta ili kurahisisha huduma za kliniki; https://youtu.be/cjcg-A_ZExM
SIMU.TV: Mhe.Ester Midimu aihoji serikali juu ya hatua za haraka za ujenzi wa nyumba za watumishi katika wilaya mpya ya Ikirima;https://youtu.be/VTbOQNvetT8
SIMU.TV : Je ni vigezo gani hutumika kuanzisha wilaya mpya? Naibu waziri wizara ya tamisemi, utumishi na utawala bora Mhe.Jafo anajibu swali hilo; https://youtu.be/n7voN7wZowU
SIMU.TV: Serikali yatenga dolla za Kimarekani laki 540 kwaajili ya upembuzi yakinifu na ujenzi wa miundombinu ya barabara na mitaro Mtwara; https://youtu.be/lW-tPDKT2l4
SIMU.TV: Mhe. Peter Selukamba mbunge wa Kigoma aikalia koo serikali juu ya upatikanaji wa maji Kigoma kaskazini;https://youtu.be/F54Cexl2zso
SIMU.TV: Mbunge wa Moshi Mhe.Raphael ahoji viwanda vilivyobinafsishwa kutumika kama maghala badala ya kuendelezwa na kutumika kukuza ajira; https://youtu.be/cw_Yf3OEBCE
SIMU.TV: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, huko mjini Moshi kiwanda kilichokosa muwekezaji chapangishwa kwa Sh.elfu 20;https://youtu.be/soa8mIfW_OI
SIMU.TV: Naibu waziri wa fedha na mipango Dr. Ashatu Kijaji atanabaisha juu ya hatma ya baadhi ya wastaafu kutolipwa mafao yao baada ya kustaafu; https://youtu.be/uKhbIM-S2NA
SIMU.TV: Je ni utaratibu gani unatumika kukokotoa kodi katika forodha zinazopokea bidha za nje ya nchi ambazo pia zinazalishwa nchini?https://youtu.be/ig2YZASnsd4
SIMU.TV: Fahamu mpango wa serikali katika kuwasaidia wakulima wa korosho waliopata hasara kufuatia mikorosho kukumbwa na magonjwa; https://youtu.be/E4gnNOE27aU
SIMU.TV: Waziri Husein Mwinyi akitoa majibu ya serikali juu ya uboreshaji wa makazi kwa askari wa majeshi ya ulinzi nchini;https://youtu.be/bWfu6caJJuc
0 comments:
Post a Comment